July 08, 2014

  • MLIPUKO WA BOMU ARUSHA WAWILI WATIWA MBARONI



    MLIPUKO WA BOMU ARUSHA WAWILI WATIWA MBARONI
    1
    Imeripotiwa watu 8 wamejeruhiwa mmoja akiwa mahututi baada ya kutokea mlipuko kwenye mgahawa akiwa hali mahututi kufuatia mlipuko katika mgahawa mmoja uliopo eneo la GymKhana jijini Arusha.Mlipuko huo umetokea Jioni ya July 07 chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika,ingawa kwa sasa Jeshi la polisi linawashikilia watu wawili wakihusishwa na mlipuko huo,chochote kinachoendelea nitakuwa nakufahamisha mtu wangu wa nguvu.

    Watu hao  8 wengi wao  ni watu wanaosemekena kuwa na  asili ya Asia
    mgahawa
    M


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.