July 01, 2014

  • Hoja ya Mdau: Kufunga njia za mitaa kwa kuweka mageti, je sheria ya serikali za mitaa inaruhusu?



    Hivi ni nini kimeanza mitaa ya upanga? Watu wanafunga mitaa na kujimilikisha mitaa!
    Picha chini: moja ya mageti yaliyo mitaa ya upanga ambapo mtaa huo haupitiki.
    Hivi hii kitu imekaaje? Au ndio muendelezo wa kulindana na kuogopana?





  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.