July 05, 2014

  • FRANSIC CHEKA ADAIWA KUMTWANGA MENEJA WA UKUMBI WAKE MOROGORO




    FRANSIC CHEKA ADAIWA KUMTWANGA MENEJA WA UKUMBI WAKE MOROGORO
    FRANSIC CHEKA
    BONDIA WA NGUMI ZA KULIPWA NCHINI TANZANIA FRANSIC CHEKA ANADAIWA AMEMTWANGA KAVU KAVU BILA HURUMA MENEJA WAKE WA BAR YA VIJANA ILIYOPO MOROGORO AKIZUNGUMZA MENEJA WA BAR HIYO,  BAHATI KABANDA 'MASIKA' AMESEMA KUWA AMEUMIA UPANDE WA MBAVU YA KUSHOTO  MOJA AMBAYO INAMUHUMA SANA NA KUNA  UVIMBE JUU YA MBAVU HIYO
    AKIZUNGUMZA NA MTANDAO WA www.superdboxingcoach.blogspot.com KWA NJIA YA SIMU CHEKA MWENYEWE AMESEMA KUWA AJA MPIGA HATA KIDOGO NA CHANZO NI YEYE KUJA  KUOMBA KAZI KATIKA BAR YAKE NA KUPEWA KAZI YA UMENEJA WA BAR KATIKA UKUMBI UNAOMILIKIWA NA CHEKA AMBAYE ANADAI ZAIDI YA MIEZI MINNE AJACHUKUA MAUZO YOYOTE YATOKANAYO NA UKUMBI HUO

    AMBAO UNAFANYA KAZI MBALIMBALI IKIWEMO KUKODISHA UKUMBI KWA SHEREHE MBALIMBALI PAMOJA NA VINYWAJI HIVYO AJACHUKUA PESA KWA MDA WA MIEZI YOTE MINNE

    AMBAPO UGOMVI ULIANZA PALE CHEKA ALIPOTAKA KUKAGUA BAADHI YA VITU KATIKA BAR YAKE NA KUKATAZWA KUINGIA KUANGALIA BIASHARA YAKE ALIPODAI FUNGUO KWA AJILI YA KWENDA MWENYEWE KUKAGUA MENEJA HUYO ALIKIMBIA NA KUDAI KUWA KAPIGWA


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.