Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mgombea Urais kupitia Chama cha Frelimo,nchini Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Mgombea Urais kupitia Chama cha Frelimo,nchini Msumbiji Mhe,filipe Jacinto Nyusi baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mgombea Urais kupitia Chama cha Frelimo,nchini Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mgombea Urais kupitia Chama cha Frelimo,nchini Msumbiji Mhe,filipe Jacinto Nyusi baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ukumbi wa wageni Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment