July 10, 2014

  • BASI LA FB LAPATA JALI LAJERUHI 4


    BREAKING NEWZ: BASI LA FB LAPATA JALI LAJERUHI 4
    Photo: Basi la SB lilolotoka Nachingwea leo lapata ajali            Mchinga wengi wajeruhiwa:Taarifa na Abdulazziz Ahmeid -LINDI
    Watu 42 wamejeruhiwa,21 kati yao wakiwa na hali mbaya,baada ya basi la kampuni ya SB lililokuwa linatokea Mtwara kwenda Dar es salaam kupata ajali eneo la Mchinga-Lindi.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.