July 10, 2014

  • BASI LA AMANI LAPATA AJALI MAENEO YA SALANDA MKOANI TABORA, MTOTO MMOJA AFARIKI DUNIA




    BASI LA AMANI LAPATA AJALI MAENEO YA SALANDA MKOANI TABORA, MTOTO MMOJA AFARIKI DUNIA
    Basi la Amani Express likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata ajali usku wa kuamkia leo maeneo ya Salanda mkoani Tabora, ambapo mtoto wa miaka mitatu amepoteza maisha na abiria kadhaa wamepata majeraha. Mashuhuda wanahisi kuwa  chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi. Pichani abiria wakitafuta vitu vyao 
     Abiria wakiendelea kutafuta vitu vyao
     Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wakisubiri msaada wa usafiri
     Basi la Amani likiwa limepinduka
    Kikosi kazi cha Michuzi TV kilicho katika ziara ya kikazi mikoani kikihojiana na baadhi ya abiria asubuhi hii


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.