August 21, 2014

  • KISWAHILI:- METHALI ZETU!!


    KISWAHILI:- METHALI ZETU!! 1. Usimwamshe aliyelala, utalala wewe.
    2. Usipoziba ufa utajenga ukuta.
    3. Usitukane mkunga na uzazi bado.
    4. Uso mzuri hauhitaji urembo.
    5. Vikombe vikaka pamoja havina budi kugombana.
    6. Waraka ni nusu ya kuonana.
    7. Wagombanao ndio wapatanao.
    8. Usiache mbachao kwa msala upitao.
    9. Mchumia juani, hula kivulini.
    10. Mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe.

  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.