July 04, 2014

  • VITZ YATEKETEA KWA MOTO MUDA HUU ENEO LA MJI MWEMA KIGAMBONI.




    VITZ YATEKETEA KWA MOTO MUDA HUU ENEO LA MJI MWEMA KIGAMBONI.
     Gari aina ya Vitz ikiwa unateketea kwa moto muda huu
     Ikiwa inaishia ...
     Kwa  habari katika picha tuliyo ipata muda huu kuna Gari dogo aina ya Vitz imeungua yote na moto. Chanzo cha moto hakijafahamika. 

    Endelea kufuatilia.. 

    Picha na Dar es salaam yetu


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.