July 02, 2014

  • ULIPO TUPO NA BENKI YA CRDB HADI HADI VIWANJA VYA SABASABA



    ULIPO TUPO NA BENKI YA CRDB HADI HADI VIWANJA VYA SABASABA
    Wateja wa Benki ya CRDB wakipata huduma za kuweka fedha na kutoa katika Mobile Branch lililopo katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam.
     Ofisa wa Benki ya CRDB akiwahudumia wateja waliofika katika banda la Benki ya CRDB wakati wa Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba.
     Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwahudumia wateja wapya waliofika kufungua akaunti.
    Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Julius Ritte akiwasikiliza kwa makini wateja waliotaka kufahamu huduma mbalimbali zitolewazo na Benki ya CRDB pamoja na kujua faida ya kujiunga na huduma ya Simbanking  kabla ya kufungua akaunti.
     Ofisa Mauzo wa Benki ya CRDB, Mose Wamala akiwahudumia wateja wa Benki hiyo kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba. 
     Banda la benki ya CRDB linavyoonekana.
     Ofisa Mauzo wa Benki ya CRDB, Moses Wamala akimpiga picha mteja  aliyefungua akaunti ya Benki ya CRDB katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa.
     Ofisa wa Benki ya CRDB (kulia), akiwasaidia wateja wa benki hiyo kujaza fomu.
    Wateja wa Benki ya CRDB wakipata huduma za kibenki katika tawi la benki hiyo lililopo katika viwanja vya Sabasaba.
    chanzo:matatukio michuzi.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.