Mkurugenzi Mkuu wa                  Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (Kushoto), na                  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa, (MSD), Cosmas                  Mwaifwani, wakiweka saini mkataba wa "wekeza" kwenye                  hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya MSD, Keko jijini                  Dar es Salaam, Julai 23, 2014. Chini ya Mkataba huo,                  zaidi wa wafanyakazi 400 wa MSD wamejiunga na PPF. 
                 Mkurugenzi Mkuu wa                  Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (Kushoto),                  akibadilishana hati na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari                  ya Dawa, (MSD), Cosmas Mwaifwani, baada ya kusaini                  mkataba wa mpango wa "Wekeza" kwenye hafla fupi                  iliyofanyika makao makuu ya MSD jijini Dar es Salaam,                  Julai 23, 2014
                 Mkurugenzi wa                  Operesheni wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Asumpta Malya,                  (Kushoto), akikabidhi kadi mpya ya uanachama kwa                  mwanachama mpya ambaye ni mfanyakazi wa MSD, mara baada                  ya PPF na MSD kusaini makataba wa mpango wa 'Wekeza"                  kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya MSD, Keko                  jijini Dar es Salaam, Julai 23, 2014
                 Mkurugenzi wa                  Operesheni wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Asumpta Malya,                  (Kushoto), akikabidhi kadi mpya ya uanachama kwa                  mwanachama mpya ambaye ni mfanyakazi wa MSD
                 Viongozi wa PPF na                  wenzao wa MSD, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada                  ya kutiliana saini mkataba ambapo MSD na PPF                  zimekubaliana kuanzisha mpango wa "Wekeza" ambapo                  wafanyakazi wa MSD sasa watakuwa wakichangia kwenye                  mfuko huo ili kujiwekea akiba na kujipatia mafao                  mbalimbali
                Viongozi wa PPF na wenzao wa MSD, wakiwa                  katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa MSD                  waliokabidhiwa kadi za uanachama wa Mfuko huo, mara                  baada ya kutiliana saini mkataba ambapo MSD na PPF                  zimekubaliana kuanzisha mpango wa "Wekeza" ambapo                  wafanyakazi wa MSD sasa watakuwa wakichangia kwenye                  mfuko huo ili kujiwekea akiba na kujipatia mafao                  mbalimbali
        





0 comments:
Post a Comment