July 10, 2014

  • MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA WABUNGE MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE D’SALAAM



    MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA WABUNGE MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE D'SALAAM
    PIX 1 (3)Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge 200 wa Marekani, Dk Kaush Arha aliyemtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana kwa lengo la kujenga ushirikiano katika sulala la kuwalinda wanyama pori nchini. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

    PIX 2 (3)Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge 200 wa Marekani, Dk Kaush Arha aliyemtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana kwa lengo la kujenga ushirikiano katika sulala la kuwalinda wanyama. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
    PIX 3 (2)Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimshukuru Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge 200 wa Marekani, Dk Kaush Arha kwa kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana. Waziri Chikawe na mgeni wake walijadili masuala mbalimbali ya kujenga ushirikiano wa kuwalinda wanyama. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
     PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
    WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.