March 02, 2016

  • WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA ALIPOWASILI JIJINI MWANZA JANA



    WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA ALIPOWASILI JIJINI MWANZA JANA

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassimu Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Ilemela mkoani Mwanza Mhe. Angelina Mabula. Ikumbukwe kuwa uwanja huo wenye changamoto nyingi ikiwa ni pamoja na kukabiliwa na mafuriko ya mara kwa mara kutokana na kutokuwepo kwa mifereji madhubuti na miundombinu madhubuti uko katika wilaya yake. Hivyo ni mategemeo kuwa ujio huo huenda ukaamsha ufanisi wa muda mfupi ujao.
     
     Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassimu Majaliwa akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini waliofika kumlaki katika Uwanja wa Ndege wa Jijini Mwanza.

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassimu Majaliwa akisalimiana na Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Kanda ya Ziwa, James Bandawe mara baada ya kuwasili mkoani Mwanza kwa ziara yake ya kikazi.
     Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu majaliwa akisalimiana na Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Mwanza Bi Ester Madale.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.