March 01, 2016

  • YALE YALE....WATANI WA JADI MSHIPA WA NOMA UMEKATIKA KWA KWELI



    YALE YALE....WATANI WA JADI MSHIPA WA NOMA UMEKATIKA KWA KWELI
    Baada ya kutangaza Olduvai Gorge na Mlima Kilimanjaro upo kwao, Watani wetu wa Jadi  sasa wamehamia katika kutumia jina la mlima huo mrefu kuliko yote barani Afrika kwenye ndege zao. Tujadili hili. Mdau unazungumziaje hili na maudhi mengine hayo?



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.