March 02, 2016

  • WAZIRI LUKUVI ATEMBELEA ENEO LA UBOMOAJI WA JENGO LA GHOROFA 16


    WAZIRI LUKUVI ATEMBELEA ENEO LA UBOMOAJI WA JENGO LA GHOROFA 16
    Waziri wa Ardhi, Mhe. William Lukuvi akiangalia maendeleo ya kazi ya ubomoaji wa jengo la ghorofa kumi na sita (16) ambapo ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ambapo kwa sasa zimebaki ghorofa sita (6) tu.
    Mafundi wakiendelea na Ubomoaji wa jengo la ghorofa kumi na sita (16) ambapo kwa sasa zimebaki ghorofa sita (6) tu.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.