March 02, 2016

  • NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, AFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WA MGODI WA CHUMVI WA NYANZA.



    NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, AFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WA MGODI WA CHUMVI WA NYANZA.
     Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani amefanya mazungumzo na watendaji wa mgodi wa chumvi wa Nyanza uliopo mkoani Kigoma ambao walifika Wizara ya Nishati na Madini ili kuzungumza masuala mbalimbali yanayohusu mgodi huo.
    Mkurugenzi wa Mgodi wa chumvi wa Nyanza (kulia), Mukesh Mamlani wa mgodi huo,  Bonny Mwaipopo (kushoto) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (hayupo pichani) wakati  alipokutana nao hivi karibuni katika ukumbi wa Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam.
    Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Katikati), Dkt. Medard Kalemani,  akizungumza  na  watendaji wa Mgodi wa Nyanza, Bonny Mwaipopo ( wa kwanza kushoto) na Mukesh Mamlani (wa pili kushoto) katika kikao kilichofanyika  hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Wizara ya Nishati na Madini. Kulia ni Mjiolojia Mkuu kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Aloyce Tesha.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.