July 11, 2014

  • TACAIDS yathibitisha upatikanaji wa dawa za kupunguza makali ya UKIMWI(RAVs) nchini



    TACAIDS yathibitisha upatikanaji wa dawa za kupunguza makali ya Ukimwi (RAVs) nchini
     Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii Margreth Sitta, akizungumza na wahabahari baada ya ufunguzi wa mkutano.
     Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk. Fatma Mrisho (kulia) akiwa na washiriki wenzake wa mkutano huo wakifuatilia uwasilishwaji wa mada.
     Mjumbe wa Chama cha Ukimwi Ulimwenguni na Mbunge wa Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile (kushoto) akifuatilia mkutano wa wadau wa Ukimwi kujadili matumizi sahihi ya rasilimali katika kupambana na Ukimwi uliofanyika jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii Margret Sitta, wakifuatilia mkutano huo.
     Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la UNAIDS nchini Tanzania, Patrick Brenny akiwasilisha mada kwenye mkutano huo.
    Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk. Fatma Mrisho akizungumza na wanahabari kuhusu mkutano huo.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.