July 02, 2014

  • MAANDALIZI YA MKUTANO MKUBWA WA CPA JIJINI ARUSHA YAIVA



    MAANDALIZI YA MKUTANO MKUBWA WA CPA JIJINI ARUSHA YAIVA
    Katibu wa Bunge,Dk Thomas Kashililah(kulia) akiongozana na Wabunge ambao ni Wajumbe wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola(CPA) na watumishi wa Bunge wakiwa kwenye Hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge, mkoani Arusha kwaajili ya maandalizi ya mkutano mkubwa wa 45 utakaofanyika mwezi huu.
    Katibu wa Bunge,Dk Thomas Kashililah(kulia) akishauliana na jambo na maafisa wa Hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge mkoani Arusha wakati wa ziara ya Wabunge ambao ni Wajumbe wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola(CPA) na watumishi wa Bunge kwaajili ya maandalizi ya mkutano mkubwa wa 45 wa CPA utakaofanyika mwezi huu.
    Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la Tanzania,Mussa Zungu(aliyevaa Kofia) akiwa na wajumbe wenzake na watumishi wa wabunge katika ziara ya kutathmini maandalizi ya mkutano mkubwa wa 45 wa CPA utakaofanyika mwezi huu mkoani Arusha.
    Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la Tanzania,Mussa Zungu(kulia) akiwa na Maafisa wa Bunge katika ziara mkoani Arusha ya kutathmini maandalizi ya mkutano mkubwa wa 45 wa CPA utakaofanyika mwezi huu mkoani Arusha,kutoka kushoto ni Afisa Mawasiliano wa Bunge,Mkuu wa Itifaki wa Bunge,Demetrius Mgalami,Mratibu wa CPA nchini,Saidi Yakubu.
    Mkuu wa Idara ya Idara ya Mawasiliano na Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa,Jossey Mwakasyuka(kushoto)akijadili jambo na Afisa wa Bunge,Aziza Makwayi .


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.