July 24, 2014

  • HOT NEWS: LICHA YA MGOGORO WA KANISA KUSURUHISHWA NA SERIKALI KANISA LAWATIMUA WACHUNGAJI SITA. WALIOSIMAMISHWA WAJA NA TAMKO ZITO. SOMA BARUA ZOTE HAPA

     
    Wiki moja baada ya mgogoro kanisa la Moravian Jimbo la kusini Magharibi kudaiwa kumalizika mapya yaibuka wachungaji wake Sita wasimamishwa kutoa huduma ya kiroho
     
     
    Makamu mwenyekiti Zacharia Sichone adaiwa kukiuka maazimio ya ya kikao cha usuluhishi kilichofanyika kwa mkuu wa wilaya ya Mbeya Dk . Norman Sigalla cha julai 16 Mwaka huu

     Wachungani waliosimamishwa waja juu na kutoa tamko zito

     
     
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.