MKAPA ANVYOKUBALIKA KUREJESHA AMANI BURUNDI Bujumbura, Burundi. Burundi imeunga mkono kuteuliwa mpatanishi mpya kwa ajili ya kujaribu kutatua mgogoro wa nchi hiyo ambao umesababisha mamia ya raia kufa huku wengine wakikimbilia nchi jirani na kuishi kwenye kambi za wakimbizi. Chama tawala cha CNDD-FDD kimesema kuwa kuteuliwa kwa rais...