December 23, 2014

  • Mpita njia ajeruhiwa kwa Risasi na Majambazi waliovamia na kupora ktk duka la Pesa Morocco, Kinondoni - Dar



    Mpita njia ajeruhiwa kwa Risasi na Majambazi waliovamia na kupora ktk duka la Pesa Morocco, Kinondoni - Dar
    Less than one hour ago here at Morocco nyuma ya Airtel Building a lady was shot to dead!!

    Bodaboda walivamia kiduka cha M-PESA, tiGO PESA na Airtel Money; wakati wanaondoka wakawa wanapiga risasi ikampata huyu dada alikuwa anajipitia barabarani hajui hili wala lile.

    === Updates ===

    Kumbe huyu dada hakufa. Risasi ilimpalaza upande wa kulia. Walimshoot baada ya kuonekana anaongea na simu, baada ya tukio la kumuibia dada mwingine, ambaye inasemekana alikuwa ametokea Mlimani City na Hela.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.