December 18, 2014

  • BREAKING NEWSS;MTU MMOJA AUWAWA JIJINI MBEYA.


    BREAKING NEWSS;MTU MMOJA AUWAWA JIJINI MBEYA.

                mwili wa marehemu ambae hakuweza kutambulika kwa majina.

     Hasubuhii hii mtu mmoja amekutwa kando kando ya mto wa ilolo uliopo jijini mbeya akiwa amepoteza maisha kutokana na kuvamiwa na watu wasio julikana na kumtelekeza kando kando ya mto, tunaomba radhi kwa picha hizi kwani mpaka sasa hajatambulika ni nani na ni mkazi wa wapi.





     baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakidhadhiana juu ya tukio hilo,la mauaji lililo tokea mtaa huo.

    majonzi yametawala eneo hilo.picha na Fadhiri Atick mr pengo globu ya jamii mbeya. CHANZO MTAA KWA MTAA


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.