July 01, 2014

  • YATIMA KITUO CHA MWANDALIWA WAWEZESHWA KUANZISHA MRADI WA KUJIPATIA KIPATO




    YATIMA KITUO CHA MWANDALIWA WAWEZESHWA KUANZISHA MRADI WA KUJIPATIA KIPATO
      Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwasili katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa kilichopo Bunju, jijini Dar es salaam. Vodocom ilitemebela kituoni hapo kukakidhi hundi ya Sh. 20 kutoka Vodacom Foundation kusaidia mradi wa ushonaji na ufugaji unaondeshwa na kituo hicho. 
     Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Jamii wa Vodafone Laura Turkington akiwa na watoto wanaolelewa kwenye kituo cha Mwandaliwa wakifurahia picha kupitia simu ya mkononi ya Laura. Wafanyakazi wa Vodacom  walitembelea kituoni hapo kukakidhi hundi ya Sh. 20 kutoka Vodacom Foundation kusaidia mradi wa ushonaji na ufugaji unaondehswa na kituo hicho
     Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano ya Vodacom Rosalyn Mworia akigawa vitabu vya kujifunzia mambo mbalimbali vilivyochangwa na wafanyakazi wa Vodacom kusaidia watoto wa kituo cha yatima cha Mwandaliwa. Mbalina vitabu na vifaa vya kuchezea, Vodacom Foundation nayo ilikabidhi Sh 20 Milioni kusaidia mradi wa ushinjai na ufugaji wa kituo hicho.
     Mkurugenzi wa Kituo cah mwandaliwa Islami cha Bunju jijini Dar es salaam Halima Ramadhan akiipitia kwa umakini mfano wa hundi mara baada ya kukabidhiwa na wafanyakazi wa Vodacom. Fedha hizo zimetolewa na Vodacom Foundation   kusaidia mradi wa ushinjai na ufugaji wa kituo hicho.




  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.