WAJUMBE WA KAMATI YA MRADI WA UBORESHAJI WA KATA YA MAKONGO JUU WAKUTANA NA WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA ANNA TIBAIJUKA OFISINI KWAKE DAR ES SALAAMWaziri Tibaijuka (katikati), akiwa na wajumbe wa kamati ya wananchi ya utekelezaji wa mradi wa uboreshaji wa makazi Makongo Juu katika Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo ilimtembelea waziri huyo ofisini kwake kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo ya Kata ya Makongo. Hapa Waziri Tibaijuka akiwaonesha wajumbe hao ramani ya Makazi ya Makongo Juu. Waziri Tibaijuka (Wa tatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo. Wa pili kushoto ni Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, James Rugemalira na Watatu kulia ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Makongo Juu, Protas Tesha Waziri Tibaijuka akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe hao. (Imeandaliwa na www.habari za jamii.com)
0 comments:
Post a Comment