July 01, 2014

  • UZINDUZI RASMI WA FARIDAS FOUNDATION WAFANA



    UZINDUZI RASMI WA FARIDAS FOUNDATION WAFANA
    Mkurugenzi  Farida A. Sekimonyo wa Faridas Foundation Akiomba Sala ya  Uzinduzi Rasmi wa Foundation
     Mshehereshaji wa Shughuli ya uzinduzi wa Faridas Foundation Taji Liundi
     Elias Masaki katibu mkuu 'CHAWATA' na pia Mweka Hazina Shirikisho la watu wenye ulemavu akichangia  mawazo kuhusiana na jinsi Farida Foundation Inavyofanya kazi zake kwa Jamii
     Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia maada mbalimbali zilizokuwa zikiendelea katika uzinduzi wa Faridas Foundation
    Kassim  Kibwe Katibu wa "SHIVYAWATA" Temeke na Mwenyekiti wa Albino  akichangia maada Iliyokuwa ikiendelea katika uzinduzi wa Faridas foundation
    Wageni waalikwa wakifuatilia kwa umakini Uzinduzi wa Faridas Foundation
    Afisa Miradi wa Faridas Foundation Bw.Lumanus  akijadiliana Jambo Na Mkurugenzi Wa Faridas Foundation Bi Farida A.Sekimonyo
     Wasanii walemavu wajulikanao kama Mabaga Fresh waliojitokeza kutumbuiza kwenye uzinduzi wa Faridas Foundation wakifurahia mada zilizokuwa zinatolewa
     Kikundi  cha Mabaga Fresh Wakitoa Burudani kwenye uzinduzi wa Faridas Foundation
     Mkurugenzi wa Faridas Foundation Akimkabidhi zawadi ya pointer  Mshehereshaji wa Shughuli hiyo Bw.Taji Liundi
     Afisa Miradi wa Faridas Foundation akikabidhiwa cheti cha Uadilifu na Mkurugenzi wa Foundation hiyo
    Mkurugenzi wa Faridas Foundation(kulia) Akiwakabidhi cheti cha  Ushirikiano wawakilishi wa Global Publisher
     Mwakilishi wa mtandao wa Dj Sek Blog akipokea Bw.Geofrey Adroph Cheti Kwaniaba ya Mkurugenzi wa mtandao huo

     Keki ya maalumu iliyoandaliwa kwa ajili ya uzinduzi wa Faridas Foundation
     Mkurugenzi wa Faridas Foundation Bi Farida A,Sekimonyo akimlisha keki mama yake mzazi kwa niaba ya wageni wote walioalikwa kwenye uzinduzi huo
    Shampeni ikiandaliwa kufunguliwa
     Shampeni ikiwa imefunguliwa kwa ajili ya uzinduzi Wa Faridas Fondation
     Wakigonga glass kiitakia Heri Faridas Foundation
     Mshehereshaji wa Uzinduzi wa Faridas Foundation akipiga mnada picha kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Foundation
      Mshehereshaji wa Uzinduzi  akipiga mnada fulana yenye nembo ya Faridas Foundation kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Foundation
     Mmoja ya wageni akichangia Kiasi cha pesa katika mnada wa picha iliyokiuwa ikizungushwa katika ukumbi huo
    Burudani ikitolewa ndani ya ukumbi katika kupamba uzinduzi wa Faridas Foundation
    Mmoja wa wafanyakazi wa Faridas Foundation akifurahia Burudani zilizokuwa zikitolewa ndani ya ukumbi katika uzinduzi Rasmi


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.