SERIKALI YAWATAKA WAKAZI WA ARUSHA KUDUMISHA AMANI NA MSHIKAMANO Mahmoud Ahmad Arusha Serikali Mkoani Arusha Imewataka wakazi wa Mkoa huo Kuhakikisha kuwa wanaendelea kudumisha Amani,Umoja na Mshikamano sanjari na kujitolea katika kufanikisha shughuli za kimaendeleo. Kauli hiyo imetolewa na katibu Tawala wa mkoa huu Addo Mapunda wakati akiongea...