July 19, 2014

  • TWA NA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA (TWB) WAFANYA MAFUNZO KITUO CHA KINAMAMA WENYE WATOTO WENYE UGONJWA WA MTINDIO WA UBONGO NA MGONGO WAZI CHAWAWAKI KIGAMBONI



    TWA NA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA (TWB) WAFANYA MAFUNZO KITUO CHA KINAMAMA WENYE WATOTO WENYE UGONJWA WA MTINDIO WA UBONGO NA MGONGO WAZI CHAWAWAKI KIGAMBONI
    Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) Bi. Margaret Chacha akizungumza na kikundi cha kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa mtindio wa ubongo na mgongo wazi kituo cha kigamboni(Chawawaki), wakati ya mafunzo ya ujasiriamali na kuwaelimisha juu ya fursa zinazotolewa na benki ya TWB, Mafunzo hayo yaliandaliwa na Taasisi ya Tanzania Women Of Achievement(TWA)
      Mwenyekiti wa Tanzania Women Of Achievement(TWA) Bi.Sadaka Gandi akizungumza na kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa mtindio wa ubongo na mgongo wazi kituo cha Kigamboni(Chawawaki) pembeni yake ni Bi. Margaret Chacha Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Wanawake Tanzania na Bi. Hellen Kiwia Katibu Mkuu wa Taasisi ya TWA.
      Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) Bi. Margaret Chacha akifurahia jambo na Katibu mkuu wa Tanzania Women Of Achievement(TWA) Bi. Hellen Kiwia wakati mafunzo ya ujasiriamali yaliyotolewa kwenye kituo cha Chawawaki Kigamboni.
    Bi Blandina Sembo akiongea na kinamama wa Chawawaki
      Mshauri nasaha na mtoa mafunzo wa CCBRT Bi. Mgaya Mhamanda na Bi Suzane Mrema wakiongea na kinamama hao.
    Kinamama wa Kituo cha watoto wenye ugonjwa wa mtindio wa ubongo na mgongo wazi wa Kigamboni(Chawawaki) wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa benki ya Wanawake (TWB)Bi. Margaret Chacha(hayupo pichani)wakati wa mafunzo ya ujasiriamali yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tanzania Women Of Achievement(TWA).


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.