July 12, 2014

  • WATU 21 WAJERUHIWA KATIKA AJALI YA BASI KIJIJI CHA MCHINGA, LINDI



    WATU 21 WAJERUHIWA KATIKA AJALI YA BASI KIJIJI CHA MCHINGA, LINDI
    Afisa wa polisi akisimamia mizigo ya abiria waliokuwa wakisafiri katika basi la SB lenye namba za usajili T607 BDG lililokuwa njiani kuelekea Dar es salaam kutoka Nachingwea na kupata ajali katika kijiji cha Mchinga mkoani Lindi. Abiria 21 wamejeruhiwa na wamelazwa kwa matibabu katika hospitali ya mkoa Lindi.
    Basi la SB lenye namba za usajili T607 BDG lililokuwa njiani kuelekea Dar es salaam kutoka Nachingwea baada ya  kupata ajali katika kijiji cha Mchinga mkoani Lindi. Chanzo cha ajali hiyo bado kujulikana
     
    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Ludovick Mwananzila akiwafariji majeruhi wa ajali hiyo.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.