November 11, 2014

  • UKAGUZI VITUO NA MADUKA YA TIBA ASILI


    UKAGUZI VITUO NA MADUKA YA TIBA ASILI
    1Mratibu wa Tiba Asili na Tiba Mbadala  kutoka  Manispaa ya Kinondoni, John Chikomo akikifunga duka linalouza bidhaa hizo jana, lijulikanalo kwa jina la Ng'aringa'ri lililopo eneo la Sinza  jijini Dares Salaam kwa sababu halikusajiliwa.Anayeandika maandishi ni  Mfamasia Lucy Mziray  na aliyesimama ni Kaimu Msajili Mboni Bakari wote wanatoka katika Baraza la Tiba asili na Tiba Mbadala lililochini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.

    Picha na Magreth Kinabo- MAELEZO.
    2q


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.