November 11, 2014

  • Jerry Silaa awasha umeme shule ya msingi Ipililo A wilayani Simiyu



    Jerry Silaa awasha umeme shule ya msingi Ipililo A wilayani Simiyu

    Maswa kijijini_25

    Mlezi wa Mkoa wa Simiyu Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambaye pia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akikabidhi mchango wa shilingi milioni moja kwa Mwalimu Macha mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Ipililo A akipokea kwa niaba ya wananchi ili kuunganishwa na Umeme shuleni hapo.



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.