November 17, 2014

  • WABUNGE WASHIRIKI ZOEZI LA KUPIMA AFYA ZAO MJINI DODOMA



    WABUNGE WASHIRIKI ZOEZI LA KUPIMA AFYA ZAO MJINI DODOMA
    Waziri wa Afya Mhe.Dkt Seif Rashidi (kulia) akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Agha Khan,Sisawo Konteh wakati wa zoezi la upimaji wa Afya kwa Waheshimiwa Wabunge,Mjini Dodoma jana.Katikani ni Mmoja wa Maafisa waandamizi wa Hospitali ya Agha Khan.Waziri wa Afya Mhe.Dkt Seif Rashidi aongoza zoezi la kupima afya za Wabunge katika Ukumbi wa Msekwa jana.Upimaji wa afya za Wabunge umefanywa na Madaktari wa Aga Khan kutoka Morogoro,Dar. na Dodoma.
    Mbunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini,Mchungaji Luckson Mwanjale akimsikiliza kwa Makini Mtaalam wa Maswala ya Afya kutoka Hospitali ya Agha Khan wakati wa zoezi la kupima Afya kwa waheshimiwa Wabunge,Mjini Dodoma jana.
    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (kazi maalum),Prof. Mark Mwandosya akijiandaa kupima uzito wake.
    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma akipima akichukuliwa vipimo na Daktari kutoka Hospitali ya Agha Khan.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.