November 01, 2014

  • Caroline Bernard anyakua taji la Miss Universe 2014


    Caroline Bernard anyakua taji la Miss Universe 2014
     Mrembo Caroline Bernard akipungia mkono muda mfupi baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndio Miss Univerce 2014,katika hafla iliyofanyika usiku huu kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip,Jijini Dar es Salaam.Picha na Othman Michuzi
    Mrembo Calorine Bernard akipongezwa na washiriki wenzake.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.