November 08, 2014

  • JUST IN.. LILIAN KAMAZIMA NDIYE MISS TANZANIA SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014



    JUST IN.. LILIAN KAMAZIMA NDIYE MISS TANZANIA SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014


    Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima amrithi!

    Sitti Mtemvu 2014 kajivua taji rasmi ndani ya hoteli ya JB BELMONTE Posta - Dar es Salaam.
    Miss Tanzania aliyechukua nafasi ya Sitti Mtemvu, Lilian Kamanzima akiongea na wanahabari (hawapo pichani)
    Lilian Kamanzima katika pozi.

    Mshindi namba 2, Lilian Kamazima kakabidhiwa rasmi taji hilo.
    Hapo mwanzo alikua anashutumiwa Kwamba amegushi vyeti na umri ili ashide umiss ambapo ilizua mjadala mkubwa kwenye huu uzi Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu . Hata hivyo alikanusha habari hizo kwamba sio za kweli ambapo hata Hashimu Lundenga alithibitisha kwamba hajagushi umri kwenye huu uzi Lundenga: Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ni miss halali mwenye vigezo vyote.



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.