Tunakujali, Tunakuthamini na Pia Tunakupenda!

October 30, 2014

  • TANZIA:MUIGIZAJI WA FILAMU NCHINI MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA.


    TANZIA:MUIGIZAJI WA FILAMU NCHINI MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA.
    Taarifa zilizotufikia katika chumba cha habari ya Globu ya Jamii zinaeleza kuwa Msanii wa filamu, Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Globu ya Jamii bado inafuatilia kwa karibu kujua chanzo cha kifo cha Muigizaji huyu mahiri wa filamu hapa nchini.Baadhi ya filamu alizowahi kuigiza Mzee Mnento ni Hero of the church, Dar to Lagos, Fake pastor n.k 
    Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.


  • MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 3O.1O.2O14



    MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 3O.1O.2O14


    .

    .

    .

    .

    ..

    .

    .

    .

    .

    .

    .

    .


    .

    .

    .

    .


    .

    .

    .

    .

    .

    .

    .

    .


  • October 29, 2014

  • KIGALI TO HOST 8th INTER-PARLIAMENTARY RELATIONS SEMINAR




    KIGALI TO HOST 8th INTER-PARLIAMENTARY RELATIONS SEMINAR
    Kigali is to play host to the 8th Inter-Parliamentary Relations Seminar (Nanyuki Series), scheduled for October 31st to November, 1st 2014. The seminar is organized by EALA in conjunction with the Association of European Parliamentarians with Africa (AWEPA).

    The Seminar themed: "Insecurity and Terrorism as Threats to EAC Integration: How Can EAC Develop a Common Position"  brings together an estimated 250 participants drawn from Partner States National Assemblies, EALA, academicians, high ranking Government officials as well as other regional stakeholders.

    The seminar is to be facilitated by high profile speakers from within and beyond the East African Community region who will make presentations and spur discussions on the status of the EAC economy, status of security in the EAC region and the role of Parliamentarians and other stakeholders in ensuring regional peace and security in the EAC sub-region.

    Partner States agree that peace and security are pre-requisites to socio and economic development within the Community and vital to the achievement of the Objectives of the Community (see Article 5 (3) (f)).

    In this regard, the Partner States agree under Article 125 to foster and maintain an atmosphere that is conducive to peace and security through co-operation and consultations with a view to prevention, better management and resolution of disputes and conflicts between them. The Treaty further emphasises close co-operation in defense affairs. The EAC has also signed the Protocol on Peace and Security and the protocol is currently undergoing ratification in the Partner States.

    The seminar takes place against a background of efforts to contain the heightened insecurity in the region.  In the latest attack last year, Westgate shopping mall in Nairobi was hit by perceived terrorists who killed 70 people, injured hundreds and destroyed property worth millions of shillings. 

    The seminar aims at promoting functional relations between EALA and the National Assemblies as envisaged in Article 49 of the Treaty for the Establishment of the EAC. The issues for discussion will lead to proposals aimed at resolving the challenges that afflict the quality of life of the East African people and opportunities that are in place. It is through this forum that EALA briefs the Members of National Parliaments on the progress made in the integration process of EAC and the role of EALA in that process.

    It is anticipated that Members of the National Assemblies will be provided with an opportunity to appreciate the progress made so far in the EAC integration process and therefore the issues discussed will subsequently find their way to be agendas for National Assemblies.


  • UHABA WA DAWA VIFAA NA TIBA MZIGO KWA SERIKALI



    UHABA WA DAWA VIFAA NA TIBA MZIGO KWA SERIKALI
    Suala la uhaba wa dawa na vifaa tiba katika hospitali nchini ikiwamo Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, limeonekana kuielemea Wizara ya Afya baada ya Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kuthibitisha, huku akidai kuwa Serikali itapeleka fedha kwa awamu Bohari ya Kuu ya Dawa ili kupunguza uhaba huo.

    Waziri Rashid alikiri kuwa MSD inaidai Serikali kiasi cha Sh90 bilioni, jambo ambalo linaifanya bohari hiyo kushindwa kununua dawa kutoka kwa wauzaji ndani na nje ya nchi. "Ni kweli bohari kuu ya dawa imepungukiwa fedha za kununulia dawa, lakini siyo kwa kiasi cha kushindwa kutoa huduma kabisa kama inavyoelezwa. Kiasi cha pesa kinachotajwa si kigeni na Serikali imekuwa ikitoa kiasi cha fedha kidogo kidogo ili kuongeza uwezo wa bohari ya dawa kununua na kusambaza dawa," alisema waziri katika tamko lake jana.
    Juzi gazeti hili lilichapisha taarifa ya uhaba wa dawa Taasisi ya ORCI na kufuatiwa na taarifa kutoka shirika lisilo la kiserikali la Sikika ambayo ilieleza kuwa Serikali haijalipa kiasi cha Sh90 bilioni kwa MSD.
    Waziri Rashid alikiri kuwapo kwa ukosefu wa matibabu OCRI kutokana na uhaba wa dawa na ubovu wa baadhi ya mashine za mionzi.
    Kadhalika waziri alionyesha kuwa suala la ORCI ni zito kwa Serikali baada ya kusema kuwa matibabu katika taasisi hiyo hutolewa bila malipo.
    "Katika kukabiliana na hali hii, hospitali zote kupitia waganga wakuu wa mikoa na wilaya zimeagizwa kupeleka asilimia 50 ya mapato yanayotokana na uchangiaji kwenda MSD," alisema waziri.
    Alisema wataalamu kutoka Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) wanamalizia kazi za utekelezaji wa mpango huo na wamesisitizwa kuzingatia dawa zinapatikana kwa wakati katika vituo vya matibabu na kuiboresha MSD.
    Rashid alizitaka hospitali kuhakikisha zinapeleka asilimia 50 ya mapato licha ya kuwa wizara inapeleka fedha MSD kwa ajili ya ununuzi wa dawa na vifaa tiba na kuonya kuwa kiongozi atakayekiuka hilo atawajibishwa.


  • KAMERA YA MBEYA YETU LEO MAPEMA NDANI YA MTAA WA KANISA, NJIA MAARUFU YA MNYAMA PUNDA. NA CHA AJABU MAENEO YOTE YA JIRANI KUNA LAMI KASORO MTAA HUU TU? WAHUSIKA MPO?


    KAMERA YA MBEYA YETU LEO MAPEMA NDANI YA MTAA WA KANISA, NJIA MAARUFU YA MNYAMA PUNDA. NA CHA AJABU MAENEO YOTE YA JIRANI KUNA LAMI KASORO MTAA HUU TU? WAHUSIKA MPO?
    Huu ni mtaa wa kanisa, mtaa maarufu sana ambao upo maeneo ya Sokomatola Jijini Mbeya , Mtaa huu ambao upo sawa na mitaa mengine ya Jirani ambayo kwa hakika yote ina Lami tena ya kupendeza. lakini mtaa huu pekee wa kanisa hauna Lami na barabara yake ni korofi sana, baadala yake sasa inatumika sana kwa ajili ya kupitishia mifugo aina ya Punda.

    Wakazi wa Mtaa huu wa Kanisa pia kwa nyakati tofauti wamekuwa wakilalamika sana kwamba hakuna anaye tikisika hata kukwangua na kuwa kero kubwa sana wakati wa kiangazi kwa kuwa na vumbi  la kutosha na wakati wa masika kwa kuwa na tope la kutosha .

    Twende pamoja ushuhudie mtaa huu wa Kanisa Njia Kuu ya Mnyama Punda wa kubeba mizigo

     Watazame kwa makini Punda hawa wakiwa wanavuka Barabara kuja Mtaa wa Kanisa ambapo Licha ya Kupita hapa lakini ndio eneo lao kubwa la kufikia 
     Kwa makini Muongozaji wa Punda hao ambaye kwa hakika jina lake halikupatikana kwa mara moja akiwa anawavusha wanyama hao kwa makini
     Sasa Punda hao wanaingia katika Mtaa wao wa Kujinafasi Mtaa wa Kanisa 
     Wale wanaenda zao , wakati huo huo endelea kutazama jinsi Barabara hii ambavyo imesahaulika
     Picha halisi ya Mtaa wa Kanisa ambapo barabara yake ni ya vumbi huku mitaa mengine yote imetandazwa Lami
     Bara Bara ilivyo Korofi

     Hakuna unafuu katika Barabara hii, wananchi wanaamua kutupa taka hovyo bila kujali
     Mabonde ya kutosha
     Ukitazama vizuri hapo utaona mtaa wa Kanisa ulivyo chafuka kwa Ubovu na kwa mbele utaona Lami , sasa je hapa katika mtaa wa huu Jiji walikuwa hawana Ramani kupaweka sawa?
     Hakuna Mvua hapa lakini tazama kwa makini watu wanavyo tembea kwa adabu katika mtaa huu maana ukitembea vibaya kwa mguu waweza jikwaa na kudondoka kabisa
     Huu ndio Mtaa wa Kanisa
     Mtaa unaofuatika Mara baada ya huu wa kanisa ni Lami tupu
     Mtaa huu Mwengine nao ni Lami tupu
    Hata huu nao ni lami Tupu..

    Sasa Tunauliza Huu mtaa wa Kanisa umekosa nini?... Jibu unalo mdau karibu kwa maoni yako, pia kama kuna mnaoishi mtaa huu mtuambie inakuwaje nyie hamtengenezewi Barabara yenu hata kwa kukwetulia acha maoni yako hapa chini.


    PATA SETI HII IFUATAYO KWA TSH 67,000 TUU  NI SETI YA FORONYA 4, SHUKA KUBWA , NA KAVA MOJA NZITO YA KUFUNIKIA BLANKETI NA VITU KIBAO.  NI RAHISI PIGA SIMU NAMBA 0654221465  AU 0683167574
























  • Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.