Tunakujali, Tunakuthamini na Pia Tunakupenda!

Showing posts with label Urembo. Show all posts
Showing posts with label Urembo. Show all posts

July 03, 2014

  • KAMPUNI YA ORIFLAME YATAMBULISHA BIDHAA ZAKE KWENYE SOKO LA TANZANIA



    KAMPUNI YA ORIFLAME YATAMBULISHA BIDHAA ZAKE KWENYE SOKO LA TANZANIA
    Kampuni ya Vipozi vya aina mbalimbali vya urembo OriFlame wamefanya maonesho ya Bidhaa zao Tarehe 2.07.2014 katika ukumbi wa Zanzibar katika Hotel ya Hyatt Regency(The Kilimanjaro Hotel).
    Kampuni hiyo yenye wigo mpana wa kibiashara ambayo ina matawi zaidi ya nchi 20 duniani na pia Katika Mabara manne ya Duniani wametambulisha bidhaa zao mpya kwenye soko la Tanzania ambazo ni marashi ya kike na kiume pamoja na vipodozi mbalimbali,
    Juu Pichani ni  Maznat Yusuph Sinare kutoka saloon ya Maznat Bridal mtaalamu wa kuchanganya Vipodozi akimremba mwanadada Janeci Maluli ili kuonyesha aina tofauti za vipodozi vya Kampuni hiyo.
     Maza Yusuph Sinare  akimpaka wanja wa nyusi Mwanamitindo Janeci Maluli kwenye  sherehe za uzinduzi wa bidhaa mpya za kampuni ya ORIFLAME iliyofanyika kwenye ukumbi wa Zanzibar katika Hotel ya Hyatt Regency(The Kilimanjaro Hotel).
    Mwanadada Janeci Maluli akiwa kwenye pozi baada ya kumaliza kurembwa kwa  kutumia Vipodozi vya kampuni ya ORIFLAME
    Waandishi wa habari wakipata maelekezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya ORIFLAME  Fortunata Nkya
    Fredrick Njoka akizungumza jambo na mkuu wa masoko wa kampuni ya Vipodozi ya ORIFLAME, Harry Nyagi katika sherehe ya uzinduzi wa vipodozi vipya kwenye ukumbi wa Zanziba Hotel ya Hyatt Regency(The Kilimanjaro Hotel).
    Mkurugenzi mkuu wa ORIFLAME katika upande wa Afrika ya Mashariki bwana Klas Kronaas (kushoto) akizungumza jambo na mkuu wa masoko wa kampuni ya Vipodozi ya ORIFLAME, Harry Nyagi (katikati) na kuliani mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo Bi. Fortunata Nkya
     Fortunata Nkya akizungumza na waandishi wa habari kwenye sherehe ya utambulisho wa bidhaa za ORIFLAME  katika soko la Tanzania
    Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya ORIFLAME katika upande wa Afrika ya Mashariki bwana Klas Kronaas akielezea namna bidhaa zao zinavyotengenezwa kwenye kwenye sherehe ya utambulisho wa bidhaa zao katika soko la Tanzania
    Bi. Maznat Yusuph Sinare akieleza namna bidhaa na vipodozi mbalimbali vilivyokuwa na ubora wa kimataifa kwenye uzinduzi wa vipodozi vipya vya kampuni ya ORIFLAME kwenye ukumbi wa
     Maznat Yusuph Sinare akimpaka meck up mmoja wa warembo kwenye uzinduzi wa bidhaa mpya ya kampuni ya ORIFLAME
    Mwanamitindo Neema Mbuya akipita jukwaani kuonesha moja ya Ripstick kwenye sherehe ya uzinduzi wa bidhaa mpya za kampuni ya ORIFLAME nchini Tanzania
     Mwanamitindo Annie Moses akiweka pozi la nguvu wakati akionesha Lipstick Ya kupaka mdomoni kwenye uzinduzi wa Bidhaa za kampuni ya ORIFLAME
    Mwanamitindo Janeci Maluli alipita jukwaani akionesha moja  ya Ripstick kwenye sherehe ya uzinduzi wa bidhaa mpya ya kampuni ya ORIFLAME
    Mkuu wa masoko wa kampuni ya Vipodozi ya ORIFLAME, Harry Nyagi akizungumza  jambo kwenye sherehe ya uzindizi wa bidhaa mpya za kampuni ya ORIFLAME
    Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya ORIFLAME katika upande wa Afrika ya Mashariki bwana Klas Kronaas akifanya uzinduzi rasmi kwa kufungua bango lililokuwa linaonesha bidhaa zao mpya
    Mwonekano wa bidhaa zilizozinduliwa na kampuni ya ORIFLAME nchini Tanzania
    Wageni walioalikwa kushuhudia uzinduzi huo wakijadiliana jambo kuhusiana na Bidhaa za kampuni ya ORIFLAME

    Baadhi ya wadau waliofika kwenye uzinduzi huo wakifuatilia kwa makini maelekezo ya bidhaa za kampuni ya ORIFLAME


  • May 26, 2014

  • JIHAN NDIYE MISS DAR CITY CENTRE 2014





    JIHAN NDIYE MISS DAR CITY CENTRE 2014
     Washiriki wa Miss Dar City Centre wakitoa burudani
      Washiriki wa Miss Dar City Centre wakitoa burudani
    Hatimaye mbio za kumsaka Miss dar City Centre 2014 zahitimishwa  usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Dar es salaam free market baada ya mshiriki namba kumi na saba (17) Jihan Dimechk kutawazwa mshindi wa Miss Dar City centre 2104. Picha na Justine Kazaura wa Light Photo Studio


  • May 21, 2014

  • MABADILIKO YA VENUE MISS DAR CITY CENTER SASA KUFANYIKA AT DAR FREE MARKET SOMA HABARI KAMILI HAPA LIVE!!

     
     
     
     
     
     
  • May 19, 2014

  • TUKIO ZIMA:JUNES NDALIMA ALIVYOIBUKA MISS USTAWI WA JAMII MWAKA 2013/2014

     
     


    Washindi wa tatu bora wakiwapungia mkono mashabiki, katikati ni Junes Ndalima aliyefanikiwa kutwaa taji hilo, kushoto ni Georgia Gordian ambaye ni mshindi wa pili na kulia Nasra Moffat ambaye amekamata nafasi ya tatu.
    Ma-MC wa kinyang'anyiro hicho Hamis Dakota na Neema Nyangasa wakifanya mambo.
    Walimbwende wakiwa kwenye kivazi cha jioni.
    Majaji wakifanya yao, katikati ni Salma Dacota kulia ni Mike Lucas na kushoto ni Michael Maurus wakihakikisha wanatenda haki kumpata mrembo mwenye vigezo.
    Washindi wa mwaka jana wakiwa wameketi.
    Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa akitumbuiza.
    Bendi ya Mashujaa ikifanya yake.
    Mwanadada Junes Ndalima amefanikiwa kutwaa taji la Miss Chuo cha Ustawi wa Jamii mwaka 2013/2014 huku nafasi ya pili ikikamatwa na Georgia Gordian na nafasi ya tatu inashikiliwa na mwanadada Nasra Moffat katika kinyang'anyiro hicho.
    Mshindi wa kwanza alikabidhiwa shilingi 7,000,000 huku  wa pili akijinyakulia shilingi 500,000 na wa tatu shilingi 300,000 huku mshindi wa nne na wa tano wakipewa shilingi 100,000 kila mmoja na washiriki waliobakia walipewa shilingi 70,000 kila mmoja.
  • May 13, 2014

  • MNAOPENDA MAKALIO YA MCHINA HAYA, PAKA UBABUKE MAKALIO UWE KAMA KIAZI CHA KUCHOMA...ONENI MWENZENU HUYU



    Wameshauliwa sana, wameimbiwa saaaana lakini wenye masikio ya kufa ambayo hayasikii dawa wanaendelea kupaka. Dada zetu jaman kama mungu kakuumba na vitako vidogo kama skonzi au ngumi za mtotovumilia tu. Hivi huoni aibu hata kidogo, leo unavitako vidogo kama vibumunda vya bakhresa kufumba na kufumbua una makalio kama umejazwa upepo. Huogopi hata watu watakustukia. Haya sasa kama unapenda hilo, jua na madhara yake pia...mwenzenu amebakisha makalio yaliyoumuka na kuvimba kama viazi vya kuchoma. SI UNAUTAKA UZURI WA MATAKO, PAKA TUKUONE KAMA HAUTAKUWA NA MAKALIO YALIYOPISHANA SIZE.....NIMEMALIZA
  • May 10, 2014

  • KIVUMBI NA KITIM TIM CHA MISS TABORA 2014 JANA LIVE!!

     
     
     



    Miss Zenna Motte, Mwafunzi wa chuo kikuu cha Mt. Agustino cha Tabora chuo kishiriki cha SAUT anayesomea kozi ya Mahusiano wa Umma na Masoko mwaka wa pili, mshindi wa shindano la Redds lililofanyika wiki jana tarehe 2 mei 2014, hapa alikuwa jukwaani na vazi lake la ubunifu lenye nakshi na mchanganyo wa rangi za bendera ya Tanzania


    Miss Zenna Motte, REDDS MISS TABORA 2014. MAY 2
    Zenna Motte, hapa alikuwa katika jukwaa akionesha kipaji ambacho kilimpa ushidi wa taji la kipaji hicho kilichotengenezwa kwa muundo wa katuni au mtu ndani ya mtu au waweza sema mtu juu ya kijitu...

    Ni nouma sana
    Waweza ufe ukicheka.

    Warembo walipotembelea redio ya CG FM 89.5 moja ya wadhamini wa shindano hilo (Kushoto ni Zenna na kulia ni Elizabeth ambaye alinyakua taji la mshindi wa pili wa shindano la REDDS MISS TABORA 2014)

    Warembo walipata kufurahi katika moja ya klabu ya muziki iliyopo mkoani Tabora wakiwa chini ya usimamizi wa kamati ya maandalizi ya shindano hilo, pia warembo walipokelewa vizuri na uongozi wa klabu hiyo ya One Zero One (101)
    Miss Zenna Motte Kushoto akishangiliwa wakati wa utambulisho kama walivyoshangiliwa washiriki wengine.
    Hupenda kuwa na watu na watu hupenda kuwa naye pia, mrefu kupita wote na shingo kama ya twiga ni Zenna.... Halaaaaaaaaa....! [PICHA NA aloyson.com]
  • Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.