Tunakujali, Tunakuthamini na Pia Tunakupenda!

Showing posts with label Anga za Mastaa Mbalimbali. Show all posts
Showing posts with label Anga za Mastaa Mbalimbali. Show all posts

June 16, 2014

  • Michael Schumacher no longer in a coma, has left hospital and is now communicating




    Michael Schumacher no longer in a coma, has left hospital and is now communicating
    Some good news for fans of 7-times Formula One world champion, Michael Schumacher. According to a breaking news report, he is no longer in a coma and has left the hospital in Grenoble, France where he'd been receiving treatment after being involved in a skiing accident on December 28th 2013 in the slopes of Meribel in the French Alps that left him with severe head injuries.

    Schumacher had been an artificially-induced coma for over five months before he was moved out of intensive care into a rehabilitation ward. His managr released a statement today Monday June 16th
    'Michael has left the CHU Grenoble to continue his long phase of rehabilitation. He is not in a coma anymore. The family also wishes to thank all the people who have sent Michael all the many good wishes. We are sure it helped him. For the future we ask for understanding that his further rehabilitation will take place away from the public eye."
    The Formula One legend, said to be worth over $600million, has a long way to recovery though, which will include physiotherapists, doctors, nutritionists, nurses and neurological experts.


  • June 01, 2014

  • Mastaa Mbali Mbali Walipokuwa Hospitalini Wakisubiri Mwili wa Marehemu Tyson



    Mastaa Mbali Mbali Walipokuwa Hospitalini Wakisubiri Mwili wa Marehemu Tyson
    Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere, akiwasili katika Hospitali ya Kairuki kusubiri mwili wa marehemu. Steve alivalia tisheti yenye ujumbe 'Why always me'

    Mke wa marehemu Tyson, Beatrice Shayo akiwa na simanzi wakati akiusubiri mwili wa mumewe.

    Wema Sepetu akihojiwa na mwanahabari wakati wa kupokea mwili wa Tyson.

    Mwigizaji Aunt Ezekiel naye alikuwepo kupokea mwili wa Tyson.

    Msanii wa filamu za Kibongo, Kelvin akihojiwa kuhusu alivyopokea taarifa za kifo cha mwongozaji filamu, George Tyson.
    GPL


  • May 28, 2014

  • SIRI IMEFICHUKA SASA...!!Agnes Masogange Avishwa Pete Ya Uchumba Ya Mil.16 baada ya kupachikwa Mimba Afrika Kusini

    Habari mpya ni kuwa Agnes Masogange ambaye ni video queen maarufu nchini amevishwa pete ya uchumba yenye thamani ya shilingi mil.16 za kitanzania.
    masogange
    Habari zaidi zinadai kuwa Masogange kwasasa ni mjamzito na alipoenda Afrka  Kusini hivi juzi kati kumuambia jamaa aliyempa mimba kuwa ana ujauzito wake Jamaa huyo alifurahi sana na kumvisha Masongange pete inayoonekana pichani ambayo Agnes mwenyewe aliweka picha hiyo katika mtandao mmoja wa kijamii na kuandika maneno yasemayo “mama kijacho”.
  • May 27, 2014

  • WASANII WAKUTANA VIWANJA VYA LEADERS KUPANGA MIKAKATI YA MSIBA WA MSANII MWENZAO RECHO HAULE



    WASANII WAKUTANA VIWANJA VYA LEADERS KUPANGA MIKAKATI YA MSIBA WA MSANII MWENZAO RECHO HAULE
    Wasanii wa Bongo Movies Unity wakiwa katika Viwanja vya Leaders kupanga mikakati ya msiba wa mwenzao, Rachel Haule 'Recho' aliyeaga dunia usiku  wa  kumakia  leo.



  • May 26, 2014

  • MWANAMUZIKI MAARUFU AKAMATWA NA BANGI UWANJA WA NDEGE

    wizzz
    Rapa wa muziki wa nchini Marekani Wiz Khalifa amedakwa na polisi katika uwanja wa ndege mjini Texas baada ya kukutwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bangi wakati wa zoezi la ukaguzi ndani ya mabegi yake.

    Staa huyo anayetamba na ngoma yake ya “Black and Yellow” alikuwa akisafiri kutoka El Paso kwenda Dallas wakati maafisa wa uwanja wa ndege walipokuta mzigo huo ndani ya begi lake ambapo kwa mujibu wa sheria aliwekwa kizuizini na baadae kufikishwa kituo cha polisi.

    Lakini Rapa huyo hakuonyesha kujali na baadae alitweet picha yake akiwa jela kuonyesha hasumbuliwi na hatua ya kukamatwa kwake.

  • May 25, 2014

  • BEYONCE, JAY Z WAIKACHA NDOA YA KANYE



    BEYONCE, JAY Z WAIKACHA NDOA YA KANYE
    Kanye West na Kim Kardashian wakifunga ndoa.
    Eneo walilofungia ndoa mastaa hao.
    Mastaa walioingia mitini Jay Z na mkewe Beyonce.
    Fort Belvedere walipofungia ndoa mastaa Kim na Kanye.
    Kanye na Kim wakati wa maandalizi ya harusi yao.
    Mastaa Jay Z na mkewe Beyonce ambao ni marafiki wa karibu wa Kanye West hawakuhudhuria harusi ya kifahari ya staa huyo aliyemuoa Kim Kardashian jana kwenye ukumbi wa Fort Belvedere nchini Italia. Mbali na mastaa hao, pia kaka wa bibi harusi Kim, Rob naye aliingia mitini.


  • RAY C KUMUOKOA VIDEO QUEEN WA NYIMBO YA ICE CREAM ILIYOIMBWA NA NOORAH ALIYETUMBUKIA KWENYE MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA





    RAY C KUMUOKOA VIDEO QUEEN WA NYIMBO YA ICE CREAM ILIYOIMBWA NA NOORAH ALIYETUMBUKIA KWENYE MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA
    Ray C

    Unaikumbuka nyimbo ya Ice Cream iliyoimbwa na Noorah? Ni nyimbo nzuri iliyotamba miaka iliyopita na kuvuma zaidi baada ya video yake kutoka ambapo ndani yake kulikuwa na Video queen aliyefahamika kwa jina la Doreen.

    Taarifa zilianza kusambaa kuwa mwanadada huyo kwa sasa ametumbukia katika tatizo la matumizi ya dawa za kulevya huku akihitaji msaada mkubwa.Soma zaidi>>>>>>>


  • Top models Bunmi Ademokoya and Brian Okwara split after 5 years together




    Top models Bunmi Ademokoya and Brian Okwara split after 5 years together
    Top international model, Bunmi Ademokoya, who is signed to one of Nigeria's most prolific model agencies, ISIS models and former Mr Nigeria and actor Bryan Okwara have ended their relationship after five years together. The two, who met while signed to same modeling agency many years back, started dating in 2008 and were inseparable for years. They actually broke up in November 2013 but Bunmi is talking about it for the first time. In an interview with Punch, Bunmi said she's single again.
    "I was in a relationship but it did not work out. I am single now and living life. I have not decided yet if I will get involved with another man. I think for now I am just going to take a break because I was in a relationship for five years. I am a young girl, just trying to discover myself."


  • May 23, 2014

  • DIAMOND AKATAA HAYA MAMILIONI KUPIGA SHOW DUBAI

     
     
     
     
    https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmsf1ePe85ruhoNZDMnwSbaAXXRP8qbxyosdhB1r79upX1n8PBXV9A-00TZWcR8gDIJnZQt1bSW5RabWWl48dMVY1MC2_iHh_XdJa-5UX2HvshC2oGnpx64RAu6cuwqhGD5aDhqrWkc5RR/s1600/1174840_609604362394715_991134628_n.jpg Kama unapenda kujua yote kuhusu Diamond basi hapa ndio umefika kwani hivi karibuni jamaa alifuatwa na agent kutoka Kenya anaepeleka wasanii nchini Dubai kwa ajili kwa kupiga show lakini kitu cha ajabu mkali huyo alichomoa offer.Jamaa tayari alikua ameweka dola za kimarekani elfu kumi na tano ( $ 15, 000) ambazo ni sawa na milioni 25 za kibongo za kwenda kupiga show Dubai. Mkali huyo aliendelea na msimamo wake huo bila ya kupepesa macho kwamba hapigi show hiyo kwa kiasi hicho cha dola, bila ya kusita wala kuwaza mara mbili alisimamia msimamo wake kwamba lazima dola 20 bila ya kupungua hata dola moja. Mkali huyo pamoja na kubembelezwa kila namna lakini alimtaka agent huyo akubali hela hiyo otherwise apotezee kazi hiyo. Big up Diamond kwa kujitambua katika sanaa yetu kwani kusimamia kipato ni jukumu lako na pia ni kusaidia wasanii wadogo kukua haraka.
    -VIBE
  • Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.