VITENDO VYA KISHIRIKINA DHIDI YA WATUMISHI WA HALMASHAURI VYAMKERA JAFO Naibu Waziri Ofisi ya Rais , Tawala za mikoa na serikali za mitaa(Tamisemi), Selemani Jafo, akiwa na Mkuu wa wilaya ya Igunga na viongozi mbalimbali akipewa taarifa juu ya ujenzi wa nyumba za walimu, madarasa na vyoo vya...