Chadema yaigaragaza vibaya CCM uchaguzi wa serikali za mitaa Sumbawanga mkoani Rukwa...Chadema yanyakua mitaa 37 CCM yaambulia mitaa 5 Wafuasi wa Chadema wakishangilia katika Kata ya Chanji baada ya chama hicho kuibuka na ushindi katika uchaguzi wa marudio wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi mjini Sumbawanga. Chama cha...