| Dereva wa Katapila akibomoa moja ya nyumba za Kurasini |
| Fatuma Mussa mkazi wa Kurasini akizungumza na waandishi wa habari (pichani hawapo) kwa hisia kali akilalamikia ubomoaji wa makazi yao |
| Mwenyekiti wa Serikaili za Mtaa Shimo la Udonge Jijini Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari |
| Mkazi wa Kurasini Jijini Dar es Salaam Bi Nyakomba Selemani akiwa mbele ya gofu la nyumba yake akionyesha Stop Oda lakini imebomolewa |
| Wahanga wakijaribu kupakia vitu katika gari tayari kwakwenda kutafuta hifadhi |
| Mkazi wa Kurasini akiwa amedhibitiwa na Mgambo akidaiwa kuwarushia mawe akiwa na wenzake na kudaiwa kukutwa na kisu |
| Wahanga na vyombo vyao |
| Anayedaiwa kuwa ni Askari kanzu wapili kulia akipandishwa Gari akihusishwa kuwatupia mawe Mgambo ambapo alisikika akisema mimi nilikuwa nikiwapa muongozo. |
| Mkazi wa Kurasini akijaribu kuokoa mbao za gofu hilo baada ya kubomolea |
| Mkazi wa Kurasini akiwa amedhibitiwa na Mgambo akidaiwa kuwarushia mawe akiwa na wenzake na kudaiwa kukutwa na kisu akiwa amejiinamia baada ya kunaswa kibao usoni akiwa amevishwa pingu |
0 comments:
Post a Comment