Jamaa wawili wanaotuhumiwa kuwa wezi, nusura wauawe kwa kuchomwa moto na raia waliamua kuchukua sheria mkononi baada ya kula kichapo 'hevi' kwa msala wa kukwapua mkoba wa mrembo aliyekuwa ndani ya Bajaj.
Katika tukio hilo lililojiri maeneo ya Kijitonyama, Dar, mwanzoni mwa wiki hii, shuhuda aliyeona alisema aliwaona vijana hao wakiwa wamepanda pikipiki wakipora mkoba wa mrembi huyo aliyejitambulisha kwa jina la Magdalena John (21).PICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment