Kwenye kesi Hakimu Silah Munyao alikubaliana na hoja ya mlalamishi kuwa hakukua na ndoa na akatoa ruhusa ya kutimuliwa kwa mshtakiwa Hellen Tum [mkewe Tapkili Metto]kutoka kwa shamba hilo na kufidhiwa.
Kwenye kesi ya za iliyowasilishwa mahakamani mwaka wa 2005,Tum alikua amemshtaki mumewe Tapkili Metto kwa kumkana licha ya kuishi naye kama mume na mke tangu mwaka 1989.
Hata hivyo Tapkili alikataa kuoana na Tum, Akiongeza kwamba yeye alikua msaidizi wa nyumba tu yaani Housegirl,hakimu munyao amesema hajaridhika na mashtaka kwa upande wa mshtakiwa kwamba watoto ambao Tum alimzalia Tapkili kwa kua hakukua na yeyote alisema alishuhudia ndoa baina ya wake hao wawili.
Muda mfupi baada ya uamuzi wa mahakama Bii Tum alivua nguo nje ya mahakama huku akimtukana hakimu kwa sauti ya juu kabla ya wapita njia kumtaka atulie.
0 comments:
Post a Comment