August 06, 2014

WAZIRI MUHONGO atembelea makao makuu ya kampuni ya General Electric ya Marekani




WAZIRI MUHONGO atembelea makao makuu ya kampuni ya General Electric ya Marekani
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akipokea maelezo ya kitaalam alipotembelea Makao Makuu ya Kampuni ya General Electric (GE)  ya nchini Marekani  inayojishughulisha na utengenezaji na uuzaji wa vifaa vya kufua umeme. Moja ya bidhaa zao ni mitambo ya kufua umeme itakayotumika katika mradi wa  kufua umeme wa Kinyerezi  I wa kiasi cha megawati 150.


No comments:

Post a Comment