August 06, 2014

Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na ujumbe wake wakiwa Dubai



mkuu wa majeshi jenerali Davis Mwamunyange na ujumbe wake wakiwa Dubai
 Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange pamoja na ujumbe wake, akiwa na Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, wakiwa katika picha ya pamoja na mtumishi wa Hoteli ya Continental ya Dubai, ambaye kwa sasa ndiye Mtu Mrefu Duniani.


No comments:

Post a Comment