July 01, 2014

Ziara ya naibu waziri maji Mhe Amos Makalla wilaya ya manyoni




Ziara ya naibu waziri maji Mhe Amos Makalla wilaya ya manyoni
Naibu Waziri wa Maji Mhe  Amos makalla akipata maelezo wa ujenzi wa bwawa la kijiji cha Itagate wilayani Manyoni
 Mhe Amos Makalla ( katikati) na mbunge wa manyoni capt John chiligati (shati la kahawia) wakiangalia sehemu patakapochimbwa kisima kirefu kijiji cha Mbwasa
Nawasilisha.
 Mhe Amos Makalla ( katikati) na mbunge wa Manyoni Mhe  John chiligati (kulia) wakiangalia sehemu patakapochimbwa kisima kirefu katika kijiji cha Mbwasa




No comments:

Post a Comment