July 01, 2014

Hoja ya Mdau: Kufunga njia za mitaa kwa kuweka mageti, je sheria ya serikali za mitaa inaruhusu?



Hivi ni nini kimeanza mitaa ya upanga? Watu wanafunga mitaa na kujimilikisha mitaa!
Picha chini: moja ya mageti yaliyo mitaa ya upanga ambapo mtaa huo haupitiki.
Hivi hii kitu imekaaje? Au ndio muendelezo wa kulindana na kuogopana?





No comments:

Post a Comment