June 29, 2014

Mbunge wa Kalenga Mhe Godfrey Mgimwa atembelea wapiga kura jimboni kwa baiskeli



mbunge wa kalenga mhe godfrey mgimwa atembelea wapiga kura jimboni kwa baiskeli
Mbunge  wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akiwa katika usafiri wa Baiskeli akienda kutembelea wapiga kura wake kata ya Ifunda eneo la Kivalali 
Wananchi wa Kivalali kata ya Ifunda  wakijiandaa kupeana mikono na mbunge Mgimwa 
Mbunge Mgimwa akisalimiana na wanakikundi cha burudani Kivalali kata ya Ifunda


No comments:

Post a Comment