June 29, 2014

Bi Rusi Manfred ndiye Bibi Bomba 2014



Bi Rusi Manfred ndiye Bibi Bomba 2014
Mashindano ya kumtafuta Bibi bomba mwaka 2014 yalifanyika Mikocheni katika ukumbi wa Saadani Parking national hotel jijini Dar es salaam , mgeni rasmi alikuwa Bi.Anna Kilango. Aliyefanikiwa kuibuka mshindi usiku huo ni Bi Rusi Manfred ambaye alijipatia zawadi ya shilingi milioni kumi za kitanzania na kiwanja chenye thamani ya shilingi Milioni tano.
Bi Rusi akikabidhiwa zawadi yake


Mashabiki wakimshangilia Mshindi


Bi Rusi akiwa ameshikiria Hati ya kiwanja kama
moja ya zawadi yake


Mkurugenzi wa Tanzania Women's Bank (TWB) Bi Margareth Chacha  akitoa pongezi zake. 


No comments:

Post a Comment