May 18, 2014

ASKARI WAYAFANYIA "UMAFIA" MALORI YANAYOEGESHWA KIENYEJI BARABARA YA MANDELA JIJINI DAR

 
 
 
 
Kutokana na malori mengi kuegeshwa kwenye barabara ya Mandela eneo la relini karibu na Mwananchi kinyume cha sheria, askari wa usalama barabarani wamelazimika kung'oa namba za usajili za malori hayo na kuondoka nazo, kama lori hili linavyoonekana bila namba (Picha na mwandishi wa ITV)

No comments:

Post a Comment