March 01, 2016

YALE YALE....WATANI WA JADI MSHIPA WA NOMA UMEKATIKA KWA KWELI



YALE YALE....WATANI WA JADI MSHIPA WA NOMA UMEKATIKA KWA KWELI
Baada ya kutangaza Olduvai Gorge na Mlima Kilimanjaro upo kwao, Watani wetu wa Jadi  sasa wamehamia katika kutumia jina la mlima huo mrefu kuliko yote barani Afrika kwenye ndege zao. Tujadili hili. Mdau unazungumziaje hili na maudhi mengine hayo?



No comments:

Post a Comment