December 25, 2015

Fuso laua zaidi ya watu 10 baada ya kupinduka kwenye milima ya Usambara

Fuso laua zaidi ya watu 10 baada ya kupinduka kwenye milima ya Usambara
 
Ajali mbaya imetokea Soni Lushoto Tanga na watu wapatao kumi wameripotiwa kufariki baada ya fuso iliotokea kwenye maulidi katika Kijiji cha Mgombezi kuanguka nakubiringika bondeni.
  
No comments:

Post a Comment