November 25, 2015

BREAKING NEWS: RAIS WA MAGUFULI AMEFUTA SHEREHE ZA MAAZIMISHO YA SIKU YA UKIMWI


BREAKING NEWS: RAIS WA MAGUFULI AMEFUTA SHEREHE ZA MAAZIMISHO YA SIKU YA UKIMWI
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk John Magufuli  Ametangaza kufuta Sherehe za   siku ya Ukimwi..Rais Magufuli Pia Ameagiza Pesa zote zilizotakiwa Kwenye Sherehe hizo Zitumike Kununulia Dawa.Ikumbukwe Tarehe 1 December  Kila Mwaka Huwa ni Siku ya Ukimwi Dunia.Sherehe hizo zilikuwa Zifanyike Kitaifa Mkoani Singida 
Taarifa Hizo zimetufikia Jioni hii japo Maandalizi yalikuwa yameshafanyika na Mkuu wa Mkoa alikwishafungua Maonyesho Kuelekea Kilele cha Siku hiyoCHANZO : CHANEL TEN


No comments:

Post a Comment